¹ú²úAV

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba vituo vya afya katika majimbo kadhaa, likiwemo Darfur, vinakabiliwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya matibabu ya kiafya.
World Health Organization
Na WHO
Mwanamke akipita pembeni ya gari la wagonjwa ndani ya hospitali ya Benadir mjini Mogadishu, Somalia.
UN News
Masoko ya hisa duniani yamekuwa yakishuka thamani kadri mlipuko wa virusi vya corona unavyozidi.
UN News
Watu wavaa vinyago vya uso wanapokuwa ...
UN News
Child with autism spectrum disorder learning to improve her speech and pronunciation in an autism rehabilitation facility in Tanzania.      ??  Panos / Dieter Telemans
Kuimarisha ufahamu na kubadilishana tajiriba husaidia familia kukabili hali
Wachimbaji wadogo wa dhahabu wakichejua dhahabu kwa kutumia zebaki hali ambayo si tu inahatarisha afya zao bali pia mazingira. Picha: GEF
UN News
Mtoto akipatiwa chanjo dhidi ya surua nchini Paraguay. Picha: WHO/PAHO
UN News
Mebratu almaarufu Tanki ni mvulana wa miaka 16 kutoka Eritrea. Muziki ni moja ya vitu anavyopenda, anapenda kusikiliza nyimbo za kitamaduni kupitia vipokea sauti vinavyobanwa kichwani. Picha: ? UNICEF/UN0264259/Haro
UN News
Heleema mwenye umri wa miaka 42 akiwa amewabeba mapacha wake wenye umri wa miezi miwili kambini walikokimbilia baada ya mji wao wa Tawergha kilomita 600 magharibi mwa Benghazi Libya kushambuliwa. Picha: UNOCHA/Giles Clarke
UN News
Ngariba na mjukuu wake wa miaka 10 ambaye alikuwa anatarajiwa kukeketwa lakini anaumwa kwa hiyo bibi yake anasubiri naye. Picha Kutoka: UNFPA/Georgina Goodwin
UN News