¹ú²úAV

Msaada wa Kibinadamu

Msafara wa malori ya WFP yakipeleka chakula na lishe kwa Adi Harush, Mai Aini, Mekelle na Shire huko
UN News
Washiriki wa mbio za Selous wakifurahia maporomoko ya maji ndani ya safu ya milima ya tao la mashari
Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kushirikianana serikali katika kuhifadhi mazingira sambamba na kuhakikisha kuwa uhifadhi huo unachangia katika kuongeza kipato kwa wananchi.
UNDP
Na UNDP
Fedha zinazotumwa na wahamiaji waishio ugaibuni kwa jamii nyumbani zinasaidia watu milion 800 ulimwenguni kote
UN News
Gari za UN zilizoharibiwa wakati washambulizaji wenye silaha waliposhambulia mji wa Monguno katika jimbo la Borno, Nigeria.
UN News
Wakati wa mlipuko wa COVID-19 shirika la mpango wa chakula duniani WFP linagawa msaada wa kadi za fedha kwa familia 1,500 huko El Alto na La Paz, Bolivia
UN News
Ndege ya mizigo kutoka kituo cha kipya cha WFP Ubeligiji ilipotua nchini Burkina Faso ikiwa imebeba takribani tani 16 za mzigo wa dawa pamoja na vifaa vingine vya kujikinga na magonjwa kama barakoa, kwa niaba ya UNICEF na ICRC. Picha ya Maktaba.
UN News
Wanawake na watoto waliotawanywa kutokana na mapigano Jebel Marra, Darfur Kaskazini, wakijihifadhi katika kituo kipya cha Tawilla
UN News
Familia eneo la Kaya jimbo la Sanmatenge nchini Burkina Faso ikipata mlo baada ya kupokea mgao kutoka WFP.
UN News
Hapa ni Kaya nchini Burkina Faso, watoto wakicheza ndani ya hema, ikiwa ni eneo rafiki la kucheza kwa watoto wakimbizi wa ndani waliofurushwa makwao kutokana na mzozo nchini humo.
UN News