¹ú²úAV

Mabadiliko ya Tabianchi

Taa za sola zinapatiwa chaji badala ili zitumiwe na wavuvi badala ya koroboi za mafuta ya taa. Mradi huu umepata ufadhili wa UNEP, Tanzania.
UN News
Miradi kama hii ya FAO ya kutengeneza maeneo ya kunywa maji wanyama huko Turkana nchini Kenya, ni miradi ya kuepusha mvutano kati ya wakulima na wafugaji na pia hutunza mazingira. (2011)
UN News
Kimbuga Idai kilichopita mja wa Beira nchini Msumbiji mwaka 2019 kilikuwa na madhara makubwa. Pichani wananchi wakiendelea kupokea msaada mwaka mmoja tangu janga hilo.
UN News
Wavuvi kutoka Kenya wakiwa katika harakati za uvuvi kwenye ziwa Victoria ambako Sangara ndiko makazi yake zaidi
UN News
Niger inakumbana na upungufu wa chakula na viwango vya mapato ya chini
UN News
Wakimbizi wa Burundi katika makazi ya Mulongwe huko Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
UN News
Nzige wanaweza kuharibu mazao na nyasi za mifugo
UN News
Nchini Burkina Faso, idadi ya watu wanaokabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula umeongezeka.
UN News
Tijjani Muhammad-Bande (centre), President of the seventy-fourth session of the United Nations General Assembly, opens the general debate of the seventy-fourth session of the General Assembly.
UN News
¡ªJoyce Msuya, United Nations Environment Programme¡¯s Deputy Executive Director
¡ªJoyce Msuya